Kupiga Rangi
0
Maoni
0
Kazi Kamili
20+
Miaka Uzoefu
Wasiliana
Bei Kuanzia
Tunapaka rangi kwa ubora unaoonekana na kumaliza kazi kwa usafi na umakini.
Tunatoa huduma za upakaji rangi kwa nyumba, ofisi, maduka, apartments na majengo mbalimbali. Tunakusaidia kuchagua rangi zinazofaa kulingana na aina ya jengo, mazingira na muonekano unaoutaka.
🏠 Huduma Zetu
Upakaji rangi wa ndani na nje
Rangi za nyumba mpya na zilizopo
Skimming na maandalizi ya kuta
Kubadilisha rangi ya nyumba
Painting ya ofisi, maduka na majengo ya biashara
Marekebisho ya kuta kabla ya kupaka rangi
Ushauri wa kuchagua rangi zinazofaa
⭐ Kwa Nini Utuchague?
✔ Kazi safi na yenye umakini
✔ Finishing nzuri na ya kisasa
✔ Tunazingatia muda wa mteja
✔ Bei zinazoweza kujadiliwa kulingana na kazi
✔ Tunapokea kazi za maeneo mbalimbali
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kumpa nyota fundi huyu!
Ingia kwenye akaunti ya mteja kumpa fundi nyota.
Ingia Sasa
Razack
Kupiga Rangi
Shiriki Wasifu Huu
Chagua Jinsi ya Kuwasiliana