Karibuni sana kwenye tovuti yetu kwa punguzo kutoka kwa mafundi wetu
Pata Huduma Haraka Mafundi Waliohakikiwa Tanzania Nzima

Fundi Bora, Mahali Ulipo,
Kwa Wakati Sahihi.

Wewe ni Fundi? Jiunge Leo — Ni Bure!

Pata wateja wapya, ongeza mapato yako Tanzania nzima

Jisajili Bure Sasa
Rahisi Sana Kutumia

Pata Fundi kwa Njia 3 Tu

Huhitaji kupiga simu nyingi, kutembea, au kuuliza watu. Fundi anakuja kwako.

1

Tafuta Fundi

Andika aina ya kazi kama "Fundi Umeme", chagua mkoa wako — au washa GPS kupata fundi wa karibu nawe sasa hivi.

🔧 Umeme 🚰 Bomba 🔨 Seremala
2

Wasiliana na Fundi

Angalia wasifu, bei, na maoni. Kisha chagua jinsi ya kuwasiliana na fundi — haraka na rahisi.

Panga siku ya kukutana na fundi
Tuma ujumbe — zungumza na fundi ndani ya app
Piga simu moja kwa moja — bonyeza unaungana na fundi
Shiriki — wasilisha taarifa za fundi kwa mwenzako
3

Kazi Inafanywa ✓

Fundi anakuja kwako, anafanya kazi yake vizuri. Ukiisha — mpe nyota na maoni ili wasaidie wateja wengine kumchagua.

Mafundi Waliohakikiwa Maoni ya Kweli

Tafuta Fundi Haraka

Hakuna malipo ya kutafuta • Matokeo ya haraka

Unahitaji Fundi?

Tafuta, wasiliana, panga miadi

Tafuta Fundi Sasa

Wewe ni Fundi?

Jiunge upate wateja leo

1

Jisajili bure — dakika 2

2

Weka wasifu, picha & eneo lako

3

Pokea wateja & panga miadi

Jiunge Sasa — Ni Bure
8+
Mafundi Hewani
24
Mikoa Imefikiwa
38+
Aina za Huduma
15Dk
Wastani wa Kujibu

Zinazotafutwa Zaidi

Bonyeza aina ya kazi unayotaka

Mafundi Kwenye Ramani

Mafundi Wanaopendekezwa

Mafundi bora waliopo karibu nawe waliothibitishwa viwango vyao.

8 Mafundi

Ibrahim Joseph Anyandwile

Daktari wa Nyumbani

(0)
Eneo halijasajiliwa
Tazama Wasifu & Wasiliana na Fundi
Verified

Alafa Hamis Juma

Furnitures

(2)
Chanika, Dar es Salaam
Kuanzia TZS 5,000

Nina uzoefu wa miaka 13 kazini...

Tazama Wasifu & Wasiliana na Fundi

MESHACK J MOCK

Kupiga Rangi

(0)
Eneo halijasajiliwa
Tazama Wasifu & Wasiliana na Fundi

DANIEL LAUMU

Daktari wa Nyumbani

(0)
Kigamboni, Dar es Salaam
Kuanzia TZS 5,000

Nina uzoefu wa miaka 10...

Tazama Wasifu & Wasiliana na Fundi
Verified

AHAZY J ANYANDWILE

Ujenzi & Tiles

(0)
Eneo halijasajiliwa
Kuanzia TZS 1,000,000

Karibu kampuni yetu ya ujenzi, tunafanya kazi kwa uaminifu, tuna uzoefu wa miaka...

Tazama Wasifu & Wasiliana na Fundi
Verified

YUSTER J ANYANDWILE

Ushonaji & Tailoring

(0)
Mbeya, Mbeya
Kuanzia TZS 15,000

Nimebobea katika ushonaji wa nguo zote za kike,nina ujuzi wa zaidi ya miaka 20, ...

Tazama Wasifu & Wasiliana na Fundi
Verified

Adela joseph

Ususi

(0)
Arusha
Kuanzia TZS 10,000

Habari karibu sana upate huduma ya kusuka nywele aina zote bila kusahau dread. H...

Tazama Wasifu & Wasiliana na Fundi

AZALINA JUMA

Fundi Seremala

(0)
Eneo halijasajiliwa
Tazama Wasifu & Wasiliana na Fundi

Picha za Kazi (Galari)

Makala & Dondoo Mpya

Jifunze mbinu mbalimbali za ujenzi na matengenezo.

Jinsi Mfumo Unavyofanya Kazi

Tazama video hii fupi kujifunza jinsi ya kutafuta fundi, kuwasiliana naye, na kukamilisha kazi yako kwa usalama.

Kwanini Utumie Fundi Mkononi?

Tumejenga mfumo imara unaolinda usalama wa mteja na kuhakikisha ubora wa kazi asilimia 100.

Mafundi Waliohakikiwa

Mafundi wetu wote wamethibitishwa vitambulisho vyao (NIDA) na wasifu wao kikazi.

Huduma ya Haraka

Mfumo wetu unakuunganisha na fundi aliye karibu zaidi na wewe ndani ya dakika chache.

Ubora Unaoonekana

Soma maoni na nyota za wateja waliopita kabla ya kufanya maamuzi ya kumchagua fundi.

Usalama wa Kazi

Mfumo unarekodi kila hatua ya mawasiliano kuhakikisha pande zote mbili zipo salama.