FundiMkononi

Vibarua na wasaidizi

Fundi, ukipata kazi kubwa leo, pata msaidizi aliye karibu na umpigie moja kwa moja. Mteja, pata mtu wa kubeba mizigo au kusafisha.

Jisajili kama kibarua

Kibarua 1

Ahazy J.

Ilala, Dar es Salaam · miaka 27

Bustani na shamba

Mimi ni mfanyakazi mahiri na makini, nafanya kazi kwa kiwango cha uaminifu na bora sana, bei zangu ni nafuu, maelewano tu karibuni.

Kwa mafundi na wateja

Ingia kwenye akaunti yako kupata namba ya kibarua. Kubalianeni kazi na malipo kabla ya kuanza.

Kwa vibarua

Jisajili kwa dakika 2. Ada ni TZS 5,000 kwa siku 30. Washa "Niko tayari leo" ukiwa huru.

Usalama

Fundi Mkononi inawaunganisha tu, haiajiri vibarua. Usitume pesa kabla ya kuonana. Ukiona tatizo, bonyeza "Ripoti".

FundiMkononi

Tafuta

NyumbaniTafuta fundiHuduma zoteVibarua na wasaidiziJamiiBlog

Kwa mafundi

Jisajili kama fundiIngia kama fundiJisajili kama kibarua

Taarifa na msaada

Msaada / TuandikieKuhusu sisiVigezo na MashartiSera ya FaraghaKanusho la DhimaMiongozo ya UsalamaSheria za Jamii[email protected]Futa akaunti

Tufuate

Ingia ili uwasiliane

Kulinda vibarua, namba zao zinaonekana kwa fundi au mteja aliyeingia tu. Kufungua akaunti ni bure.

Nyota kwa

Alifanyaje kazi?

Ripoti kibarua

Ripoti inaenda kwa timu ya Fundi Mkononi tu.