FundiMkononi

Baraka Mwakyusa

Fundi Umeme

Bado hana maoni

  • Kinondoni, Dar es Salaam
  • Miaka 8 ya uzoefu
Bei ya kuanzia
TZS 15,000
Amejiunga
Okt 2026

Kuhusu Baraka

Fundi umeme mwenye uzoefu wa miaka 8 katika nyumba, ofisi na maduka. Nafanya wiring mpya na ukarabati, kufunga taa, soketi na swichi, kufunga mita ya LUKU, kutafuta hitilafu za umeme na kufunga mifumo midogo ya sola. Nafika kwa wakati, nakupa makadirio ya bei kabla ya kuanza, na natumia vifaa vyenye ubora. Napatikana Kinondoni, Ubungo na Kinondoni Mjini, Jumatatu hadi Jumamosi.

Picha za kazi

Maoni ya wateja

Bado hakuna maoni. Ukifanya kazi na Baraka, kuwa wa kwanza kusaidia wengine kuchagua.

Umewahi kufanya kazi na Baraka? Ingia uandike maoni ·

FundiMkononi

Tafuta

NyumbaniTafuta fundiHuduma zoteVibarua na wasaidiziJamiiBlog

Kwa mafundi

Jisajili kama fundiIngia kama fundiJisajili kama kibarua

Taarifa na msaada

Msaada / TuandikieKuhusu sisiVigezo na MashartiSera ya FaraghaKanusho la DhimaMiongozo ya UsalamaSheria za Jamii[email protected]Futa akaunti

Tufuate

Weka miadi

na Baraka Mwakyusa · Fundi Umeme

Hatua inayofuata: jina na namba yako ili fundi akupate.

Ripoti wasifu

Ripoti inaenda kwa timu ya Fundi Mkononi tu, si kwa fundi.

Piga simu kwa Baraka

Namba ya simu ya Baraka itaonekana mara tu atakapokubali miadi yako. Weka miadi sasa, au mwandikie kwenye chat upate jibu haraka.

Chat na Baraka

Shiriki wasifu

Mtumie mtu anayehitaji fundi umeme.