FundiMkononi

Razack Nagaga

Fundi Rangi

Bado hana maoni

  • Kitambulisho (NIDA) kimethibitishwa
  • Dar es Salaam
  • Miaka 20 ya uzoefu
Amejiunga
Sep 2026

Kuhusu Razack

Tunapaka rangi kwa ubora unaoonekana na kumaliza kazi kwa usafi na umakini. Tunatoa huduma za upakaji rangi kwa nyumba, ofisi, maduka, apartments na majengo mbalimbali. Tunakusaidia kuchagua rangi zinazofaa kulingana na aina ya jengo, mazingira na muonekano unaoutaka. 🏠 Huduma Zetu Upakaji rangi wa ndani na nje Rangi za nyumba mpya na zilizopo Skimming na maandalizi ya kuta Kubadilisha rangi ya nyumba Painting ya ofisi, maduka na majengo ya biashara Marekebisho ya kuta kabla ya kupaka rangi Ushauri wa kuchagua rangi zinazofaa ⭐ Kwa Nini Utuchague? ✔ Kazi safi na yenye umakini ✔ Finishing nzuri na ya kisasa ✔ Tunazingatia muda wa mteja ✔ Bei zinazoweza kujadiliwa kulingana na kazi ✔ Tunapokea kazi za maeneo mbalimbali

Picha za kazi

Maoni ya wateja

Bado hakuna maoni. Ukifanya kazi na Razack, kuwa wa kwanza kusaidia wengine kuchagua.

Umewahi kufanya kazi na Razack? Ingia uandike maoni ·

FundiMkononi

Tafuta

NyumbaniTafuta fundiHuduma zoteVibarua na wasaidiziJamiiBlog

Kwa mafundi

Jisajili kama fundiIngia kama fundiJisajili kama kibarua

Taarifa na msaada

Msaada / TuandikieKuhusu sisiVigezo na MashartiSera ya FaraghaKanusho la DhimaMiongozo ya UsalamaSheria za Jamii[email protected]Futa akaunti

Tufuate

Weka miadi

na Razack Nagaga · Fundi Rangi

Hatua inayofuata: jina na namba yako ili fundi akupate.

Ripoti wasifu

Ripoti inaenda kwa timu ya Fundi Mkononi tu, si kwa fundi.

Piga simu kwa Razack

Namba ya simu ya Razack itaonekana mara tu atakapokubali miadi yako. Weka miadi sasa, au mwandikie kwenye chat upate jibu haraka.

Chat na Razack

Shiriki wasifu

Mtumie mtu anayehitaji fundi rangi.