Jinsi Inavyofanya Kazi — Hatua 3 Tu
Chagua huduma na mkoa wako — au washa GPS kupata fundi wa karibu nawe sasa hivi.
Angalia wasifu na bei — panga miadi moja kwa moja bila simu au usumbufu.
Fundi anakuja anafanya kazi. Mwisho mpe nyota ili wasaidie wengine kumchagua.
Bonyeza aina ya kazi unayotaka
Mafundi bora waliopo karibu nawe waliothibitishwa viwango vyao.
Fundi Feni
Nina uzoefu wa miaka 5 katika fani yangu, nimkarimu kwa wateja, hatushindwani na...
Jifunze mbinu mbalimbali za ujenzi na matengenezo.
Tazama video hii fupi kujifunza jinsi ya kutafuta fundi, kuwasiliana naye, na kukamilisha kazi yako kwa usalama.
Tumejenga mfumo imara unaolinda usalama wa mteja na kuhakikisha ubora wa kazi asilimia 100.
Mafundi wetu wote wamethibitishwa vitambulisho vyao (NIDA) na wasifu wao kikazi.
Mfumo wetu unakuunganisha na fundi aliye karibu zaidi na wewe ndani ya dakika chache.
Soma maoni na nyota za wateja waliopita kabla ya kufanya maamuzi ya kumchagua fundi.
Mfumo unarekodi kila hatua ya mawasiliano kuhakikisha pande zote mbili zipo salama.