Wewe ni Fundi? Jiunge Leo — Ni Bure!
Pata wateja wapya, ongeza mapato yako Tanzania nzima
Huhitaji kupiga simu nyingi, kutembea, au kuuliza watu. Fundi anakuja kwako.
Andika aina ya kazi kama "Fundi Umeme", chagua mkoa wako — au washa GPS kupata fundi wa karibu nawe sasa hivi.
Angalia wasifu, bei, na maoni. Kisha chagua jinsi ya kuwasiliana na fundi — haraka na rahisi.
Fundi anakuja kwako, anafanya kazi yake vizuri. Ukiisha — mpe nyota na maoni ili wasaidie wateja wengine kumchagua.
Tafuta Fundi Haraka
Hakuna malipo ya kutafuta • Matokeo ya haraka
Unahitaji Fundi?
Tafuta, wasiliana, panga miadi
Wewe ni Fundi?
Jiunge upate wateja leo
Jisajili bure — dakika 2
Weka wasifu, picha & eneo lako
Pokea wateja & panga miadi
Bonyeza aina ya kazi unayotaka
Mafundi bora waliopo karibu nawe waliothibitishwa viwango vyao.
Ushonaji & Tailoring
Nimebobea katika ushonaji wa nguo zote za kike,nina ujuzi wa zaidi ya miaka 20, ...
Jifunze mbinu mbalimbali za ujenzi na matengenezo.
Tazama video hii fupi kujifunza jinsi ya kutafuta fundi, kuwasiliana naye, na kukamilisha kazi yako kwa usalama.
Tumejenga mfumo imara unaolinda usalama wa mteja na kuhakikisha ubora wa kazi asilimia 100.
Mafundi wetu wote wamethibitishwa vitambulisho vyao (NIDA) na wasifu wao kikazi.
Mfumo wetu unakuunganisha na fundi aliye karibu zaidi na wewe ndani ya dakika chache.
Soma maoni na nyota za wateja waliopita kabla ya kufanya maamuzi ya kumchagua fundi.
Mfumo unarekodi kila hatua ya mawasiliano kuhakikisha pande zote mbili zipo salama.
App ya Bure • Tanzania